Index: chrome/app/resources/terms/terms_sw.html |

--- chrome/app/resources/terms/terms_sw.html (revision 137977) |
+++ chrome/app/resources/terms/terms_sw.html (working copy) |
@@ -119,7 +119,7 @@ |

17.2 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa upatikanaji wa tovuti zozote au raslimali kama hizo za nje, na haiidhinishi matangazo, bidhaa au vitu vyovyote kwenye au vinavyopatikana kwenye tovuti au nyenzo hizo.

17.3 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa hasara au uharibifu wowote unaoweza kukupata wewe kwa sababau ya upatikanaji wa tovuti au raslimali hizo za nje, au kutokana nawe kutegemea kwa vyovyote ukamilifu, usahihi au uwepo wa matangazo, bidhaa au vitu vyoyvote kwenye, au kutoka kwa, tovuti au nyenzo kama hizo.

18. Mabadiliko kwa Masharti

18.1 Google inaweza kufanya mabadiliko kwa Masharti ya Kijumla au Masharti ya Ziada mara kwa mara. Mabadiliko hayo yanapofanywa, Google itatoa nakala mpya ya Masharti ya Kijumla kwenye http://www.google.com/accounts/TOS?hl=en na Masharti yoyote mapya ya Ziada yatatolewa kwako kutoka ndani, au kupitia, Huduma zilizoathirika.

18.1 Google inaweza kufanya mabadiliko kwa Masharti ya Kijumla au Masharti ya Ziada mara kwa mara. Mabadiliko hayo yanapofanywa, Google itatoa nakala mpya ya Masharti ya Kijumla kwenye http://accounts.google.com/TOS?hl=en na Masharti yoyote mapya ya Ziada yatatolewa kwako kutoka ndani, au kupitia, Huduma zilizoathirika.

18.2 Unaelewa na kukubali kuwa ikiwa utatumia Huduma baada ya tarehe Masharti ya Kijumla au Masharti ya Kijumla kubadilika, Google itachukulia matumizi yako kuwa kukubali kwa Sheria na Mashati au Masharti ya Ziada yaliyosasishwa.

19. Masharti ya kijumla ya kisheria

19.1 Wakati mwingine ukitumia Huduma, unaweza (kwa sababu ya, au kuhusiana na matumizi yako ya Huduma) kutumia huduma au kupakua programu, au kununua bidhaa, zinazotolewa na mtu au kampuni nyingine. Matumizi yako ya huduma, programu au bidhaa hizi zingine zinaweza kuwa chini ya masharti tofauti katika yako na kampuni au mtu anayehusika. Ikiwa ni hivyo, Masharti haya hayaathiri uhusiano wako wa kisheria na kampuni hizo au watu hao wengine.

Property changes on: chrome/app/resources/terms/terms_sw.html |

Added: svn:mergeinfo |
Merged /branches/chrome_webkit_merge_branch/chrome/app/resources/terms/terms_sw.html:r69-2775 |
Merged /branches/172/src/chrome/app/resources/terms/terms_sw.html:r15630,16043 |