OLD | NEW |
1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" | 1 <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.01 Transitional//EN" |
2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> | 2 "http://www.w3.org/TR/html4/loose.dtd"> |
3 <html DIR="LTR"> | 3 <html DIR="LTR"> |
4 <head> | 4 <head> |
5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> | 5 <meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8"> |
6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1
6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> | 6 <link rel="icon" type="image/ico" href="/tools/dlpage/res/chrome/images/chrome-1
6.png"><title>Sheria na Masharti ya Google Chrome</title> |
7 <style> | 7 <style> |
8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } | 8 body { font-family:Arial; font-size:13px; } |
9 </style> | 9 </style> |
10 <script type="text/javascript"> | 10 <script type="text/javascript"> |
(...skipping 101 matching lines...) Expand 10 before | Expand all | Expand 10 after Loading... |
112 <p>15.2 Google hutumia utaratibu wa malalamishi kuhusu chapa-biashara kuhusiana
na shughuli za utangazaji za Google, maelezo yake ambayo yanapatikana http://www
.google.com/tm_complaint.html.</p> | 112 <p>15.2 Google hutumia utaratibu wa malalamishi kuhusu chapa-biashara kuhusiana
na shughuli za utangazaji za Google, maelezo yake ambayo yanapatikana http://www
.google.com/tm_complaint.html.</p> |
113 <p><strong>16. Matangazo</strong></p> | 113 <p><strong>16. Matangazo</strong></p> |
114 <p>16.1 Baadhi ya Huduma zinadhaminiwa na mapato kutoka kwa matanagazo na zinawe
za kuonyesha matangazo na kampeni za matangazo. Matangazo hayo yanaweza kuwa yan
alenga maudhui ya maelezo yaliyohifadhiwa kwenye Huduma, hoja zilizoulizwa kupit
ia Huduma au maelezo mengineyo.</p> | 114 <p>16.1 Baadhi ya Huduma zinadhaminiwa na mapato kutoka kwa matanagazo na zinawe
za kuonyesha matangazo na kampeni za matangazo. Matangazo hayo yanaweza kuwa yan
alenga maudhui ya maelezo yaliyohifadhiwa kwenye Huduma, hoja zilizoulizwa kupit
ia Huduma au maelezo mengineyo.</p> |
115 <p>16.2 Mbinu, hali na kiwango cha matangazo kutoka kwa Google kwenye Huduma kin
aweza kubadilika bila ilani mahsusi kwako.</p> | 115 <p>16.2 Mbinu, hali na kiwango cha matangazo kutoka kwa Google kwenye Huduma kin
aweza kubadilika bila ilani mahsusi kwako.</p> |
116 <p>16.3 Kwa sababu Google inakuruhusu kupata na kutumia Huduma, unakubali kuwa G
oogle inaweza kuweka matangazo kama hayo kwenye Huduma.</p> | 116 <p>16.3 Kwa sababu Google inakuruhusu kupata na kutumia Huduma, unakubali kuwa G
oogle inaweza kuweka matangazo kama hayo kwenye Huduma.</p> |
117 <p><strong>17. Maudhui mengineyo</strong></p> | 117 <p><strong>17. Maudhui mengineyo</strong></p> |
118 <p>17.1 Huduma zinaweza kujumuisha viungo kwa tovuti zingine, maudhui au nyenzo
zingine. Google huenda isiwe na udhibiti wowote juu ya tovuti zozote au nyenzo z
inazotolewa na watu au kampuni tofauti na Google.</p> | 118 <p>17.1 Huduma zinaweza kujumuisha viungo kwa tovuti zingine, maudhui au nyenzo
zingine. Google huenda isiwe na udhibiti wowote juu ya tovuti zozote au nyenzo z
inazotolewa na watu au kampuni tofauti na Google.</p> |
119 <p>17.2 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa upatikanaji wa tovuti
zozote au raslimali kama hizo za nje, na haiidhinishi matangazo, bidhaa au vitu
vyovyote kwenye au vinavyopatikana kwenye tovuti au nyenzo hizo.</p> | 119 <p>17.2 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa upatikanaji wa tovuti
zozote au raslimali kama hizo za nje, na haiidhinishi matangazo, bidhaa au vitu
vyovyote kwenye au vinavyopatikana kwenye tovuti au nyenzo hizo.</p> |
120 <p>17.3 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa hasara au uharibifu wo
wote unaoweza kukupata wewe kwa sababau ya upatikanaji wa tovuti au raslimali hi
zo za nje, au kutokana nawe kutegemea kwa vyovyote ukamilifu, usahihi au uwepo w
a matangazo, bidhaa au vitu vyoyvote kwenye, au kutoka kwa, tovuti au nyenzo kam
a hizo.</p> | 120 <p>17.3 Unatambua na kukubali kuwa Google haiwajibiki kwa hasara au uharibifu wo
wote unaoweza kukupata wewe kwa sababau ya upatikanaji wa tovuti au raslimali hi
zo za nje, au kutokana nawe kutegemea kwa vyovyote ukamilifu, usahihi au uwepo w
a matangazo, bidhaa au vitu vyoyvote kwenye, au kutoka kwa, tovuti au nyenzo kam
a hizo.</p> |
121 <p><strong>18. Mabadiliko kwa Masharti</strong></p> | 121 <p><strong>18. Mabadiliko kwa Masharti</strong></p> |
122 <p>18.1 Google inaweza kufanya mabadiliko kwa Masharti ya Kijumla au Masharti ya
Ziada mara kwa mara. Mabadiliko hayo yanapofanywa, Google itatoa nakala mpya ya
Masharti ya Kijumla kwenye http://www.google.com/accounts/TOS?hl=en na Masharti
yoyote mapya ya Ziada yatatolewa kwako kutoka ndani, au kupitia, Huduma zilizoa
thirika.</p> | 122 <p>18.1 Google inaweza kufanya mabadiliko kwa Masharti ya Kijumla au Masharti ya
Ziada mara kwa mara. Mabadiliko hayo yanapofanywa, Google itatoa nakala mpya ya
Masharti ya Kijumla kwenye http://accounts.google.com/TOS?hl=en na Masharti yoy
ote mapya ya Ziada yatatolewa kwako kutoka ndani, au kupitia, Huduma zilizoathir
ika.</p> |
123 <p>18.2 Unaelewa na kukubali kuwa ikiwa utatumia Huduma baada ya tarehe Masharti
ya Kijumla au Masharti ya Kijumla kubadilika, Google itachukulia matumizi yako
kuwa kukubali kwa Sheria na Mashati au Masharti ya Ziada yaliyosasishwa.</p> | 123 <p>18.2 Unaelewa na kukubali kuwa ikiwa utatumia Huduma baada ya tarehe Masharti
ya Kijumla au Masharti ya Kijumla kubadilika, Google itachukulia matumizi yako
kuwa kukubali kwa Sheria na Mashati au Masharti ya Ziada yaliyosasishwa.</p> |
124 <p><strong>19. Masharti ya kijumla ya kisheria</strong></p> | 124 <p><strong>19. Masharti ya kijumla ya kisheria</strong></p> |
125 <p>19.1 Wakati mwingine ukitumia Huduma, unaweza (kwa sababu ya, au kuhusiana na
matumizi yako ya Huduma) kutumia huduma au kupakua programu, au kununua bidhaa,
zinazotolewa na mtu au kampuni nyingine. Matumizi yako ya huduma, programu au b
idhaa hizi zingine zinaweza kuwa chini ya masharti tofauti katika yako na kampun
i au mtu anayehusika. Ikiwa ni hivyo, Masharti haya hayaathiri uhusiano wako wa
kisheria na kampuni hizo au watu hao wengine.</p> | 125 <p>19.1 Wakati mwingine ukitumia Huduma, unaweza (kwa sababu ya, au kuhusiana na
matumizi yako ya Huduma) kutumia huduma au kupakua programu, au kununua bidhaa,
zinazotolewa na mtu au kampuni nyingine. Matumizi yako ya huduma, programu au b
idhaa hizi zingine zinaweza kuwa chini ya masharti tofauti katika yako na kampun
i au mtu anayehusika. Ikiwa ni hivyo, Masharti haya hayaathiri uhusiano wako wa
kisheria na kampuni hizo au watu hao wengine.</p> |
126 <p>19.2 Masharti haya yanajumuisha mkataba wote wa kisheria kati yako na Google
na yanatawala matumizi yako ya Huduma (lakini haijumishi huduma zozote ambazo Go
ogle inatoa kwako chini ya mkata tofauti ulioandikwa), na inachukua kabisa nafas
i ya mikataba yoyote ya awali kati yako na Google kuhusiana na Huduma.</p> | 126 <p>19.2 Masharti haya yanajumuisha mkataba wote wa kisheria kati yako na Google
na yanatawala matumizi yako ya Huduma (lakini haijumishi huduma zozote ambazo Go
ogle inatoa kwako chini ya mkata tofauti ulioandikwa), na inachukua kabisa nafas
i ya mikataba yoyote ya awali kati yako na Google kuhusiana na Huduma.</p> |
127 <p>19.3 Unakubali kuwa Google inaweza kukupatia ilani, pamoja na zile zinazohusu
mabadiliko kwa Masharti, kwa barua pepe au machapisho kwenye Huduma.</p> | 127 <p>19.3 Unakubali kuwa Google inaweza kukupatia ilani, pamoja na zile zinazohusu
mabadiliko kwa Masharti, kwa barua pepe au machapisho kwenye Huduma.</p> |
128 <p>19.4 Unakubali kuwa ikiwa Google haitatumia au kutekeleza haki yoyote au sulu
hu ya kisheria iliyo katika Masharti (au ambayo Google inafaidika nayo chini ya
sheria yoyote inayotumika), hii haitachukuliwa kuwa Google imesalimu kirasmi hak
i zake na kuwa Google bado itaweza kupata haki na suluhu hizo.</p> | 128 <p>19.4 Unakubali kuwa ikiwa Google haitatumia au kutekeleza haki yoyote au sulu
hu ya kisheria iliyo katika Masharti (au ambayo Google inafaidika nayo chini ya
sheria yoyote inayotumika), hii haitachukuliwa kuwa Google imesalimu kirasmi hak
i zake na kuwa Google bado itaweza kupata haki na suluhu hizo.</p> |
129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala
hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo
itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar
ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> | 129 <p>19.5 Ikiwa mahakama yoyote ya sheria, iliyo na mamlaka ya kuamua kuhusu swala
hili, itaamua kuwa kanuni yoyote ya Masharti haya sio halali, basi kanuni hiyo
itaondolewa kwenye Masharti bila kuathiri Masharti yaliyosalia. Kanuni za Mashar
ti zilizosalia zitaendelea kuwa halali na kutumika.</p> |
130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog
le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k
ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo
te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa,
hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> | 130 <p>19.6 Unatambua na kukubali kuwa kila mshirika wa kundi la kampuni ambalo Goog
le ndio mmiliki atakuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya na kuwa kampuni zingine k
ama hizo zitakuwa na haki ya kutekeleza moja kwa moja, na kutegemea, kanuni zozo
te za Masharti zinazokidhi manufaa juu (au haki kwa faida) yao. Isipokuwa hawa,
hakuna mtu au kampuni nyinginee itakayokuwa mfaidi wa nje wa Masharti haya.</p> |
131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw
a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan
i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa
nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k
utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa
kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher
ia)</p> | 131 <p>19.7 Masharti, na uhusiano wako na Google chini ya Masharti hayo, yatasimamiw
a na sheria za Jimbo la California bila kuzingatia kanuni zake kwa sheria pinzan
i. Wewe na Google mnakubali kutii mamlaka ya mahakama zilizo katika wilaya ya Sa
nta Clara, California peke yake kutatua swala lolote la kisheria litakalotokea k
utokana na Masharti haya. Licha ya hayo, unakubali kuwa Google bado itaruhusiwa
kufanya maombi ya suluhu za vizuizi (au aina sawa ya suluhu la dharura la kisher
ia)</p> |
132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> | 132 <p><strong>20. Masharti ya Ziada kwa Viendelezi vya Google Chrome</strong></p> |
133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak
ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a
u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V
iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko
kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da
ta yako ya kibinafsi.</p> | 133 <p>20.1 Masharti katika sehemu hii yanatumika ukisakinisha viendelezi kwenye nak
ala yako ya Google Chrome. Viendelezi ni programu ndogo, zilizoundwa na Google a
u watu wengine, zinazoweza kubadilisha au kuboresha utendaji wa Google Chrome. V
iendelezi vinaweza kuwa mfiko zaidi kwa kivinjari chako au kompyuta yako kuliko
kurasa za wavuti za kawaida, ukiwemo uwezo wa kusoma na kubadilisha sehemu ya da
ta yako ya kibinafsi.</p> |
134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan
gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio
tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi
zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> | 134 <p>20.2 Mara kwa mara, Google Chrome inaweza kuchunguza seva za mbali (zilizopan
gishwa na Google au wengine) kupata sasisho kwa viendelezi, yakiwemo lakini sio
tu marekebisho ya hitilafu au kuboresha utendaji. Unakubali kuwa sasisho kama hi
zo zitaitishwa, kupakuliwa na kusakinishwa bila ya kukuarifu tena.</p> |
135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti
ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera
zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se
va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende
lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> | 135 <p>20.3 Mara kwa mara, Google inaweza kugundua kiendelezi kinachokiuka masharti
ya Google kwa wasanidi programu au mikataba ya kisheria, sheria, kanuni au sera
zingine. Google Chrome itapakua orodha ya viendelezi kama hivyo kutoka kwenye se
va za Google. Unakubali kuwa Google inaweza kulemaza au kuondoa kwa mbali viende
lezi kama hivyo kutoka kwenye mifumo ya watumizi kwa hiari yake pekee. </p> |
136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> | 136 <p>Tarehe 20 Oktoba, 2009</p> |
137 </body> | 137 </body> |
138 </html> | 138 </html> |
OLD | NEW |